Mkurugenzi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya prof.mwera foundation akizungumza na wasau wa sekta ya elimu na walimu katika mkutano wa wadau wa elimu 2023 wa Singida
mkuu wa mkoa wa Singida Peter Serukamba(kuahoto) akimkabidhi cheti mkurugernzi wa taasisi ya Professor nwera baasa ya taasisi hiyo kutoa baadhi ya tuzo za heshima kwa washindi